News and Events

ZIARA YA VIONGOZI WA ESS CREATIVE AND LEGAL FOUNDATION
July 2, 2020
Viongozi wa juu wa ESS wakiwa wamemtembelea Mkuu wa Wiliya ya Ilala, Mkoni Dar es Salaam Mh. Sophia Mjema (Kushoto) na katikati akiwa ni Mkurugenzi Mtendaji Ndugu. Erick Mukiza wa ESS akiambatana na Mkurungezi Msaidizi Ndugu. Geofrey Bomboko na wafanyakazi wengine. Ziara hiyo ililenga kudumisha na ushikirikiano wa Taasisi hiyo pamoja na Serikali katika kutoa huduma ya Sheria kwa wananchi

HUDUMA YA UHAKIKA WA SHERIA
July 2, 2020
Mteja akiwa katika banda la ESS Legal akisubiri huduma ya Uhakika wa sheria katika Viwanja vya Sabasaba. Kwa sasa taasisi imepanua wigo wa kutoa huduma yake kupitia mtandao na kupitia mfumo maalumu wa kompyuta ujulikanao kama Members Management System utakaozinduliwa rasmi hivi karibuni.

ESS at Global Festival Action 2019 German bonn, July-19-2019
July 2, 2020
Mr. ERICK MUKIZA, Executive Director of ESS attended the UN-SUSTAINABLE
DEVELOPMENT GOAL, FESTIVAL ACTION 2019 which was held at Bonn-German. ESS got
an International opportunity to share their innovative solution called Legal
Assurance Service

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYABIASHARA DUNIANI
July 2, 2020
Taasisi ya ESS CREATIVE & LEGAL FOUNDATION wakiwa kazini wakati wa msimu wa sikukuu ya wafanyabiashara duniani (Sabababa) iliyofanyika Jijini Dar es Salaam. Wanasheria na wafanyakazi wa ESS walitumia muda kutoa elimu na kusajili wanachama wanufaika wa Huduma ya Uhakika wa Sheria

KUTANA NA WASHINDI WA KWANZA WA 2019 KATIKA KUTOA HAKI AFRIKA MASHARIKI (INNOVATING JUSTICE CHALLENGE 2019 WINNER)
July 2, 2020
Mr. Erick Mukiza, Mkurugenzi Mkuu akipokea tuzo kuwa mshindi wa kwanza "The Haggue Institute of Innovation for Law" (Hiil) Uholanzi ya ushindi wa kutetea haki za wananchi nchini Tanzania

INNOVATION WEEK 2019
July 2, 2020
MR Erick Mukiza an Executive Director of Ess pitched his innovative solution (legal Assurance Service) to a special international guest from Swedish Government during Innovation week 2019.

HUDUMA YA KISHERIA KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
July 2, 2020
Mkurugenzi wa ESS and Legal Foundation akiongea na walimu juu ya umuhimu wa Huduma ya Kisheria (Legal Assurance Service) kwa walimu wa shule ya msingi mzambarauni Dar es salaam

MKURUGENZI WA ESS CREATIVE AND LEGAL FOUNDATION AKIWA NA MWAKILISHI WA UMOJA WA MATAIFA
July 2, 2020
Mkurugenzi wa ESS Creative and Legal Foundation Bwa. Erick Mukiza
(kushoto) akiwa na Mwakilishi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini
Tanzania Bw. Alvalo Rodriguez (Kulia)

ESS AT GLOBAL FESTIVAL ACTION 2019 GERMAN BONN, JULY-19-2019
July 2, 2020
Mr. ERICK MUKIZA, Executive Director of ESS attended the UN-SUSTAINABLE
DEVELOPMENT GOAL, FESTIVAL ACTION 2019 which was held at Bonn-German. ESS got
an International opportunity to share their innovative solution called Legal
Assurance Service

MKURUGENZI WA ESS CREATIVE AND LEGAL FOUNDATION AKIWASILISHA WAZO LAKE LA UBUNIFU LA LEGAL ASSURANCE
July 2, 2020
Mkurugenzi wa ESS Creative and Legal Foundation Bw. Erick E. Mukiza
akiwasilisha wazo lake kwenye mkutano wa Innovating Justing Forum
uliofanyika Mjini The Hague - Uholanzi tarehe 04/02/2020

MAFUNZO YA TAMBUA HAKI YAKO KISHERIA TEMEKE
July 2, 2020
Mawakili kutoka ESS Creative & Legal Foundation wakitoa huduma za kisheria kwa wananchi wa manispaa ya Temeke katika mafunzo ya TAMBUA HAKI YAKO KISHERIA.