HUDUMA YA KISHERIA KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

Mkurugenzi wa ESS and Legal Foundation  akiongea na walimu juu ya umuhimu wa Huduma ya Kisheria (Legal Assurance Service)  kwa walimu wa shule ya msingi mzambarauni Dar es salaam